Chuo Kikuu cha Afrika ya Mashariki

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: University of East Africa) kilianzishwa tarehe 29 Juni 1963 [1] kikiwa kinahudumia nchi za Kenya, Tanzania na Uganda.

Mwaka 1970 kiligawanyishwa katika vyuo vitatu huru ambavyo ni Chuo Kikuu cha Nairobi, Chuo Kikuu cha Makerere na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads