Control Machete
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Control Machete ilikuwa kundi la hip hop kutoka Monterrey, Nuevo León, Mexiko. Wao ni waanzilishi wa hip hop ya Mexiko. Wameuza nakala 500,000 za albamu Mucho Barato.

Remove ads
Diskografia
- Mucho Barato (1996)
- Artillería Pesada presenta (1999)
- Solos Para Fanáticos (2002)
- Uno, Dos:Bandera (2003)
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads