Coolio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Coolio
Remove ads

Artis Leon Ivey, Jr. (Agosti 1, 1963 – Septemba 28, 2022),alifahamika sana kwa jina la kisanii kama Coolio, alikuwa rapa, mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Amekuwa mashuhuri wakati wa 1994 na kibao chake cha kwanza cha "Fantastic Voyage", na kisha baadaye mwaka wa 1995 na kibao chake mashuhuri-chenye mafanikio cha "Gangsta's Paradise", ambacho kilikuwa moja kati ya sehemu ya kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Maisha ya awali

Coolio alizaliwa mjini Monessen, Pennsylvania, akiwa kama mtoto wa Artis Leon Ivey Sr., fundi seremara, na Jackie Slater, mfanya kazi wa kiwandani.[1] Wazazi wake walitalikiana na familia ili hama na kwenda mjini Compton, California. Coolio aliingia matatani akiwa nje ya nymbani kwa jinsi alivyotumia wakati wake na vijana wa kuhuni wa Compton's Mona Park Crips, ijapokuwa hakukubaliwa kabisa kuingia kwenye uhuni.[2]

Coolio alikuwa mgeni mzoefu wa kituo cha redio cha mjini Los Angeles, KDAY.

Kazi za awali za muziki za Coolio zilishiia na uuzaji wa madawa ya kulevya feki. Baada ya kujirekebisa, Coolio alifanya kazi mbalimbali.[3]

Remove ads

Diskografia

Makala kuu: Diskografia ya Coolio
  • It Takes a Thief (1994)
  • Gangsta's Paradise (1995)
  • My Soul (1997)
  • El Cool Pacifico (2000)
  • Coolio.com (2001) (Japan-limited release)
  • El Cool Magnifico (2002)
  • The Return of the Gangsta (2006)
  • Steal Hear (2008)
  • From The Bottom 2 The Top (2009)[4]

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads