Crazy Desire
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Crazy Desire" ni filamu iliyotoka 2013 nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Jacqueline Wolper, Abdul Ahmed, Charles Magali, Shani Aliphani na Alice Bagenzi. Filamu imeongozwa na Frank Lutego ambaye pia amesimama kama mtayarishwa wa filamu hii. Filamu inamwelezia Patricia msichana mwenye uwezo mkubwa wa kifedha, ambaye anatumia pesa zake kama fimbo ya kununulia wanaume kimapenzi. Filamu inaonesha jinsi kwamba mapenzi hayahitaji pesa bali upendo wa dhati.[1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads