Cuanza Kusini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cuanza Kusini (kwa Kireno: Cuanza Sul) ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.
Una wakazi 1.881.873 (2014) kwenye eneo la km² 55,660. Makao makuu ya mkoa yapo Sumbe.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cuanza Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads