DJ Premier
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Christopher Edward Martin (amezaliwa 21 Machi 1966[1]) ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
Kiasili anatokea mjini Houston, lakini ameishi zaidi mjini Brooklyn, New York, kwa ajili ya shughuli zake za kitaalamu. Premier anatazamika kama ndiye mbunifu kwa staili ya "hardcore East Coast hip-hop inayojulikana sana kwa ngoma zake nzito na michano."[2]
Gazeti la The Source limempa jina DJ Premier kuwa kama mmoja kati ya watayarishaji watano wakubwa wa muziki wa hip hop katika historia, wakati wahariri wa About.com wamempa cheo cha #1 katika orodha ya watayarishaji Bora-50.[3]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads