David Archuleta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
David James Archuleta (amezaliwa tar. 28 Desemba 1990) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Akiwa na umri wa miaka kumi, amepata kushinda kwenye mashindano ya kutafuta watoto wenye vipaji vya Utah Talent Competition na kuongoza kuimba kwenye mionekano mingine ya vipindi vya televisiheni. Akiwa na umri wa miaka kumi na miwili, akapata kuwa Msindi Mdogo wa Kuimba kwenye Star Search 2.[5] Mnamo mwaka wa 2007, akiwa na umri wa miaka kumi na sita, amesailiwa na kuwa mmoja kati ya waliofika fainali akiwa bwana mdogo sana kwenyue msimu wa saba wa kumtafuta mkali wa American Idol. Mnamo mwezi wa Mei 2008 amemaliza akiwa kama mgombea, na kupokea asilimia 44 za kura zaidi ya milioni 97.
Mnamo mwezi wa Agosti 2008 Archuleta ametoa kibao chake kiitwacho "Crush", kibao cha kwanza kutoka kwenye albamu yake ya kwanza-yenye-jina-sawa-na-lake.[5][6][7][8] Albamu ilikuwa kutolewa miezi miwili baadaye, na kufika moja kwa moja nafasu ya pili kwenye chati za Billboard 200; na kwa mwezi wa Juni 2009, imeuza zaidi ya kopi 725,000 nchini Marekani na zaidi ya 900,000 kwa hesabu ya Dunia nzima.[9][10]
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
Archuleta alizaliwa mjini Miami, Florida, na bwana Jeff Archuleta na Lupe Marie, mwimbaji na mnenguaji wa muziki wa chalanga. Anazungumza Kihispania.[11] Mama yake Archuleta anatokea Honduras, ilhali baba yake ana asili ya Kihispania, Kidemark, Kiayalandi, Kijerumani, na Iroquois.[12] Archuleta has four siblings.[13] Familia ya Archuleta ilihamia Salt Lake Valley, kwenye mji wa Sandy, Utah, wakati Archuleta akiwa na umri wa miaka sita. Yeye ni mwanachama wa Kanisa la Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku ya Mwisho (pia linajulikana kama kanisa la "Wamormoni").[14] Kwa sasa anaishi mjini Murray, Utah ambapo alimaliza elimu yake ya juu kwenye shule la Murray High School.[15] Archuleta ni mwanachama wa Boy Scouts of America.[16][17]
Archuleta started singing at age six, inspired by a Les Misérables video. "That musical is what started all of this", he said.[18] Aliaza kuimba mbele ya hadhara akiwa na umri wa miaka kumi kwenye Utah Talent Competition kwa kuimba wimbo wa "I Will Always Love You" wa Dolly Parton; alipokea makofi kutoka kwa watu wengi na kupelekea kushinda shindano hilo la watoto.
Archuleta alivutiwa sana kwa kuwatazama wasanii wawili ambao ni Tamyra Gray na Kelly Clarkson kwa kutazama nini wanachokifanya na kuanza kufanya kweli katika mashindano ya American Idol. Baadaye akaanza rasmi kuonekana kwenye televisheni kwa mara ya kwanza, akiwa na umri miaka kumi na moja, akiimba "And I Am Telling You I'm Not Going" kwenye kipindi cha The Jenny Jones Show kwa ajili nyota wa baadaye wa Latino pamoja na msimu wa kwanza wa American Idol alioibuka mshindi A.J. Gil.[19] Through A.J. Gil he was able to meet and sing for Gray who had sung the song on American Idol as well as Clarkson (that year's winner) and Justin Guarini (the runner up).[19][20]
Remove ads
Athira za kimuziki
Star Search
American Idol
Diskografia
- David Archuleta (2008)
- Christmas from the Heart (2009)
- TBA (2010)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads