David Palmer

From Wikipedia, the free encyclopedia

David Palmer
Remove ads

David Palmer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Dennis Haysbert.

Ukweli wa haraka Misimu, Maelezo ...

Palmer anaonekana kutumikia kuwa kama muhusika mkuu wa pili baada ya Jack Bauer. Katika mfululizo huu, mke wake wa zamaniPalmer, Bi. Sherry na mdogo wake Wayne ndiyo watu muhimu kabisa katika utawala wake.

Palmer ana watoto wawili: wa kiume anaitwa Keith, na wa kike anaitwa Nicole. Palmer ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia cha Marekani.

Remove ads

Katika uhusika

David Palmer ana digrii ya Sheria ambayo aliipata katika Chuo Kikuu cha Sheria cha Maryland, na pia ana digrii ya Siasa na Uchumi aliopatia katika Chuo Kikuu cha Georgetown.[1] Mbali na urais wake, awali alifanya kazi kama Seneta kutoka mjini Maryland.[2]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads