Davini wa Lucca
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Davini wa Lucca (alifariki Lucca, Italia, 3 Juni 1050) alikuwa Mkristo kutoka Armenia ambaye aligawa mali yake kwa maskini akahiji Yerusalemu na Roma. Wakati wa kuelekea Santiago de Compostela alifariki[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads