Demetriani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Demetriani (alifariki Bendosapore, Uajemi, 10 Novemba 260/261) alikuwa askofu wa 16 wa Antiokia kuanzia mwaka 253 hadi kifo chake, ingawa muda wote alikuwa uhamishoni na hatimaye gerezani kutokana na dhuluma ya mfalme Sapur I[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.[3]

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads