Demografia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Demografia ni sayansi ya jamii inayozingatia takwimu za idadi ya binadamu.

Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote ya makundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa, kufa, kuhama, kuzeeka na kufa[1].
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads