Demokrito na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Demokrito na wenzake Sekundo na Dionisi (walifariki Şuhut, Frigia, Uturuki wa leo, karne ya 3) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads