Dickson Job
Mchezaji wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dickson Nickson Job (alizaliwa 29 Desemba,2000 )ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania ambaye anacheza kama beki wa kati katika timu ya Young Africans na Timu ya Taifa ya Tanzania.
Remove ads
Klabu
Job alianza soka lake katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara akiwa katika klabu ya Mtibwa Sugar. Alihamia klabu ya Young Africans mnamo 11 Januari 2021.[1]
Ushiriki Kimataifa
Job alicheza mechi yake ya kwanza akiwa katika Timu ya Taifa ya Tanzania katika mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya, ambapo Tanzania ilipoteza kwa mabao 2-1 mnamo 15 Machi 2021.[2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads