Dili

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dili
Remove ads

Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki mwenye wakazi 150,000.

Ukweli wa haraka Nchi ...
Thumb
Jumba la gavana wa Ureno sasa ofoso ya Waziri Mkuu

Mji uko upande wa kaskazini ya kisiwa cha Timor una bandari kuu la nchi pamooja na uwanja wa ndege wa kimatifa. Ni pia mahali pa chuo kikuu cha Timor ya Mashariki.

Mji ulianzishwa na Wareno mnamo mwaka 1520 ukawa makao makuu ya koloni ya Kireno. Uhuru wa nchi ulitangazwa hapa 1975 uliofuatwa na uvamizi wa Indonesia. Vita ya ukombozi ilileta uharibifu mwingi.

Tangu 20 Mei 2002 Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki huru.

Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads