Dodati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dodati (pia: Diethardt au Theodard; Speyer, Ujerumani, 618 hivi - Speyer, 670 hivi) alikuwa mmonaki padri wa utawa wa Wabenedikto ambaye akawa askofu bora wa Tongeren-Maastricht kuanzia mwaka 663 hadi kifodini kilichompata akiwa njiani kwenda kwa mfalme kulalamikia dhuluma dhidi ya Kanisa [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Septemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads