Domomundu
Ndege wa jenasi Rhinopomastus, familia Phoeniculidae, wenye domo kama mundu From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Domomundu, kwembemundu au hanjari ni ndege wa jenasi Rhinopomastus katika familia Phoeniculidae. Wanafanana na goregore lakini domo lao limepindika zaidi. Mwangani kwa jua manyoya yao yana mng'ao buluu wa metali. Hula wadudu ambao wanawatafuta katika nyufa ya miti kama vigong'ota. Jike huyataga mayai 2-4 ndani ya tundu ya mti na kuyaatamia. Wakati huu dume amletea chakula.
Remove ads
Spishi
- Rhinopomastus aterrimus Domomundu Mweusi (Black Scimitar-bill)
- Rhinopomastus cyanomelas Domomundu Domo-jeusi (Common Scimitar-bill)
- Rhinopomastus minor Domomundu Domo-jekundu (Abyssinian Scimitar-bill)
Picha
- Domomundu mweusi
- Domomundu domo-jeusi
- Domomundu domo-jekundu
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads