Dorimedonti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dorimedonti
Remove ads

Dorimedonti (alifariki Şuhut, Frigia, Uturuki wa leo, 278 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa imani yake[1][2].

Thumb
Kifodini chake na cha wenzake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Septemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads