Duka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Duka ni mahali ambapo watu wanaweza kwenda kununua vitu wanavyovihitaji au wanavyotaka. Kuna vitu vingi ambavyo watu duniani wanaweza kununua dukani. Wanaweza kwenda dukani kununua chakula, nguo, samani, vitabu na vitu vingine vingi.


Watu wanaweza pia kwenda kwenye duka la kutengeneza vifaa vilivyoharibika, na wanataka watengenezewe vifaa vyao. Kwa mfano, mtu anaweza kuleta baiskeli iliyoharibika kwenye duka la kutengeneza baiskeli.
Maduka makubwa yanaitwa pia supamaketi.
Maduka yanaweza yakawa makubwa na hata hivyo faida yake ikawa ndogo.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads