Dulse Pontes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dulse Pontes, kwa jina la awali Maria Rita de Souza Pontes (Salvador, Bahia, Brazil, 26 Mei 1914 – Salvador, 13 Mei 1992) alikuwa mtawa Mfransisko ambaye alianzisha taasisi kwa ajili ya fukara [1].

Alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 22 Mei 2011[2][3], halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Oktoba 2019[4], akiwa mwanamke wa kwanza kutoka Brazil.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads