Dustin Hoffman

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dustin Hoffman
Remove ads

Dustin Lee Hoffman (amezaliwa tar. 8 Agosti 1937) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Amepata kucheza katika mafilamu kibao.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Remove ads

Wasifu

Maisha ya awali

Hoffman alizaliwa mjini Los Angeles, California. Ni mtoto wa Lillian, mpiga piano wa muziki wa jazz, na Harry Hoffman, ambaye anafanyakazi katika kampuni ya filamu ya Columbia Pictures, ambapo alikuwa akifanyakazi kama mpambaji kabla ya kuwa mwuzaji fanicha.[1][2] Kaka yake, Ronald, ni mwanasheria na mwana-uchumi. Familia ya Hoffman ni Wayahudi, japokuwa yeye mwenyewe hakukulia katika madhehebu ya dini hiyo.[3][4]Alimaliza elimu yake ya juu katika shule iliopo mjini Los Angeles mnamo 1955.

Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads