Dwayne Johnson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dwayne Douglas Johnson (pia anajulikana kwa jina la The Rock[1]; alizaliwa 2 Mei 1972) ni mwigizaji wa Marekani, mtayarishaji wa vipindi, na mwanamiereka wa kulipwa aliyestaafu. Anachukuliwa kama mmoja wa wanamiereka wa kitaalamu zaidi wa nyakati zote[2][3].
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads