Edith Stein
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Edith Stein (12 Oktoba 1891 – 9 au 10 Agosti 1942) alikuwa mwanamke mwanafalsafa wa Ujerumani mwenye asili ya Kiyahudi.

Ingawa alilelewa kidini baadaye alipoteza imani hadi alipoanza maisha mapya katika Kristo kwa kubatizwa akawa mtawa wa ndani wa shirika la Wakarmeli. Jina lake la utawani lilikuwa Teresa Benedikta wa Msalaba (kwa Kilatini: Teresia Benedicta a Cruce)[1].
Aliuawa na wafuasi wa Unazi kwa gesi ya sumu katika moja ya makambi ya KZ kule Auschwitz (leo nchini Polandi).
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri mwaka 1987 halafu mtakatifu mfiadini mwaka 1998 na hatimaye msimamizi mmojawapo wa Ulaya.
Remove ads
Maandishi yake
- Life in a Jewish Family: Her Unfinished Autobiographical Account, translated by Josephine Koeppel, 1986
- On the Problem of Empathy, Translated by Waltraut Stein 1989
- Essays on Woman, translated by Freda Mary Oben, 1996
- The Hidden Life, translated by Josephine Koeppel, 1993
- The Science of the Cross, translated by Josephine Koeppel, 1998
- Knowledge and Faith
- Finite and Eternal Being: An Attempt to an Ascent to the Meaning of Being
- Philosophy of Psychology and the Humanities, translated by Mary Catharine Baseheart, SCN and Marianne Sawicki, 2000
- An Investigation Concerning the State, translated by Marianne Sawicki, 2006
- Martin Heidegger's Existential Philosophy Ilihifadhiwa 25 Machi 2009 kwenye Wayback Machine., translated by Mette Lebech, 2007
- Self-Portrait in Letters, 1916-1942
- The Hidden Life Ilihifadhiwa 7 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads