Ehud
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ehud (kwa Kiebrania אֵהוּד בֶּן־גֵּרָא, Ehud ben‑Gera, ʾĒhûḏ ben‑Gērā) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia[1].

Kadiri ya Waamuzi 3:12-28 alikuwa wa kabila la Benyamini akatumwa na Mungu kukomboa Israeli kutoka mikono ya Wamoabu.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads