Ekbatana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ekbatana (pia Ecbatana; kwa Kifarsi: هگمتانه hagmatane) ni mji wa kihistoria katika Uajemi. Leo hii iko ndani ya eneo la mji wa Hamadan.

Kufuatana na taarifa ya Herodoti ilikuwa mji mkuu wa Astyages, mfalme wa mwisho wa Umedi na baada ya uvamizi wa Koreshi Mkuu mmoja kati ya miji mikuu miwili ya mfalme huyo. [1][2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads