Elena Guerra
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elena Guerra (Lucca, 23 Juni 1835 - Lucca 11 Aprili 1914) alikuwa bikira wa Italia aliyeanzisha shirika la Waliojitoa kwa Roho Mtakatifu kwa ajili ya malezi ya wasichana[1].

Pia alielimisha vizuri ajabu waumini kuhusu kazi ya Roho Mtakatifu katika mpango wa wokovu[2].
Papa Yohane XXIII alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Aprili 1959[3] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 20 Oktoba 2024[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads