Eliena
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eliena (pia: Elena, Eilena; aliishi Laurino, Campania, Italia, karne ya 6 hivi) alikuwa bikira ambaye mapema utotoni alikwenda kuishi kama mkaapweke katika pango hadi kifo chake[1].
Imara katika matendo ya Kristo, alimtumikia Mungu bila kujibakiza katika mahitaji ya watawa na wagonjwa.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads