Elisha Cuthbert

From Wikipedia, the free encyclopedia

Elisha Cuthbert
Remove ads

Elisha Ann Cuthbert (amezaliwa tar. 30 Novemba 1982) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Kanada. Cuthbert anafahamika sana kwa vile zamani alikuwa mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha Kikanada maarufu kama Popular Mechanics for Kids.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...

Alianza kupata uhusika mkuu kwa mara ya kwanza mnamo mwaka wa 2003, pale alipocheza katika filamu ya Old School ikafuatiwa na The Girl Next Door. Pia alipata kushiriki katika filamu moja ya mwaka wa 2005 House of Wax na pia filamu nyingine ya kutisha ya mwaka wa 2007 - Captivity.

Uhusika uliompa umaarufu zaidi ni pale alipocheza kama Kim Bauer katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Remove ads

Maigizo

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...

Vipindi vya mfululizo

Maelezo zaidi Mwaka, Jina ...
Remove ads

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elisha Cuthbert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads