Kim Bauer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kim Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Elisha Cuthbert.
Remove ads
Katika uhusika
Kim Bauer alizaliwa mjini Santa Monica, California, mnamo mwaka wa 1987,[1] akiwa mtoto pekee wa Jack na Teri Bauer.
Aliachia mbali masomo katika shule ya Santa Monica High School, lakini ameambulia kadigrii kake cha masuala ya Computer Programming katika chuo maarufu cha Santa Monica College. Halafu baadaye zaidi alijibisha kikazi katika Kitengo cha Kuzuiya Ugaidi cha mjini Los Angeles maarufu kama Counter Terrorist Unit (CTU).[2]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads