Emmeram wa Regensburg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emmeram wa Regensburg (pia: Emeramus, Emmeran, Emeran, Heimrammi, Haimeran, Heimeran) alikuwa Askofu mmisionari aliyefia dini mwaka 652 hivi huko Helfendorf (Munich, Bavaria).

Mzaliwa wa Poitiers, Aquitaine, Ufaransa, kaburi lake liko Regensburg, Ujerumani, alipokuwa anaeneza Ukristo.
Hukohuko alitangazwa mtakatifu na Papa Gregori XVI mwaka 1833.
Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tarehe 22 Septemba[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads