Papa Gregori XVI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori XVI, O.S.B.Cam. (18 Septemba 1765 – 1 Juni 1846) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/6 Februari 1831 hadi kifo chake[1]. Alitokea Belluno, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Alberto Cappellari.
Alimfuata Papa Pius VIII akafuatwa na Papa Pius IX.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads