Homs
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Homs (zamani: Emesa) ni mji wa Syria lenye wakazi 775,000, wa tatu baada ya Damasko na Aleppo.
Amekaliwa tangu mwaka 2300 KK. Jengo muhimu zaidi kihistoria ni Krak des Chevaliers.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads