Emidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emidi (279 hivi - 309 hivi) anakumbukwa kama askofu wa Ascoli Piceno (Italia ya Kati) hadi kifodini chake chini ya kaisari Diokletian[1].

Inasemekana alitokea Trier, leo nchini Ujerumani.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads