Emmanuel Jumanne Luhahula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emmanuel Jumanne Luhahula (amezaliwa 30 Januari, 1964) ni mbunge wa jimbo la Bukombe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Kwa taaluma ni mhasibu.
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads