Enameli ya jino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Enameli ya jino
Remove ads

Enameli ya jino ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au tajino.

Thumb
Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino

Enameli hii inapatikana kwa meno ya binadamu na wanyama wengi pamoja na samaki kadhaa.

Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya chakula) au kutokana na vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi vinavyosababisha karisi (kuoza kwa meno).

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enameli ya jino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads