Tajino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tajino ni jina la kichwa cha jino katika elimu ya uganga wa meno. Neno limebuniwa kwa kuunganisha maneno "taji" na "jino" [1].

Sehemu ya tajino inafunikwa kwa enameli ya jino ambayo inafanya uso mgumu wa jino wenye kazi ya kutafuna vyakula.
Kama tajino imeharibika daktari wa meno anaweza kuitengeza kwa kuongeza tajino bandia akitumia aina za saruji ya meno kama maligamu au metali. [2]
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads