Eneo bunge la Tetu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eneo bunge la Tetu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Eneo Bunge la Tetu linajumuisha tarafa ya Tetu katika Wilaya ya Nyeri. Eneo Bunge la Tetu lote liko katika eneo la Baraza la Mji wa Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wangari Maathai amekuwa mbunge wa Tetu tangu uchaguzi wa 2002. Alituzwa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004.
Remove ads
Wabunge
Wadi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
