Enuka Okuma

Muigizaji wa kike raia wa Kanada From Wikipedia, the free encyclopedia

Enuka Okuma
Remove ads

Enuka Vanessa Okuma (alizaliwa Vancouver, British Columbia[1], 20 Septemba 1976) ni mwigizaji kutoka nchini Kanada, anajulikana kwa umaarufu wake wa kuigiza katika Global Television Network. American Broadcasting Company|ABC police drama series, Rookie Blue (20102015). Okuma pia anajulikana kwa kazi yake ya uigizaji katika filamu ya mfululizo wa televisheni iitwayo Madison (TV series) (19941998) na Sue Thomas: F.B.Eye (20022005).

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Majina mengine ...
Thumb
Okuma kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto 2014.
Remove ads

Maisha ya awali

Okuma alizaliwa na watu wa asili ya Nigeria Waigbo.[2]

Kazi ya awali

Mnamo mwaka 1990, alianza kazi yake katika kipindi cha televisheni akionekana mara kwa mara karibu na wengine katika kipindi cha kwanza cha 'Teen soap opera', Hillside. Katika mwaka 1990, pia alicheza kama msaidizi kaitika filamu mbalimbali zinazorushwa katika televisheni nchini Kanada, kama vile Madison.

Maisha binafsi

Mnamo Julai 2, 2011 alifunga ndoa na mwanamuziki Joe Gasparik.[3]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads