Erasto Nyoni
Mwanasoka wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erasto Edward Nyoni, (alizaliwa 7 Mei 1988, jijini Dar es Salaam, ni mchezaji wa soka (Mpira wa miguu) ni raia wa Tanzania, anayecheza eneo la kiungo mkabaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars). Afya yake ya akili ni timamu na anauwezo wa kipekee katika ufungaji wa magoli.
Remove ads
Kazi katika ngazi ya timu ya taifa
Nyoni ni miongoni mwa wachezaji wanayoitumikia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika michezo ya kimataifa.
Magoli katika michezo ya kimataifa
- Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.[1]
Remove ads
Marejeo
Viunga vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads