Eris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erisi (alama: ;[1] pia (136199) Erisi au 136199 Erisi) ni sayari kibete kubwa inayojulikana katika mfumo wa Jua letu.


Remove ads
Tabia ze Erisi
Njia yake ya kuzunguka jua ni nje ya njia ya Pluto. Eros inaonekana ina angalau mwezi mmoja unaoitwa Dysnomia. Makadirio ya kipenyo chake ni 2400 km ambacho ni kikubwa kidogo kuliko Pluto. Inazunguka jua katika muda wa miaka 556.7 ya dunia. Umbali wake na jua ni mara 97 umbali wa dunia yetu. Kutoka Erisi hata jua letu laonekana kama nyota ndogo tu.
Kutambuliwa kwa Erisi
Erisi ilitambuliwa 2005 na wanaastronomia walioongozwa na Dr. Michael E. Brown kwenye paoneaanga Mount Palomar (Marekani). Walichungulia picha za anga zilizopigwa mwaka 2003 wakatambua nukta ya anga lililobadilika mahali.
Erisi ni chanzo cha utaratibu wa "Sayari Kibete"
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads