Esquilino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Esquilino ni kilima maarufu katikati ya Roma, mji mkuu wa Italia.

Roma mwanzo wake ulikuwa kwenye kilima hicho na katika vingine sita vilivyo katikati ya mji wa leo vinavyoitwa: Palatino, Aventino Campidoglio, Quirinale, Viminale na Celio.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Esquilino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads