Ettadhamen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ettadhamen ni mji wa Tunisia katika wilaya ya Ariana.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 196,298 pamoja na mji wa Mnihla. Hivyo ulikuwa mji wa nne kwa ukubwa nchini Tunisia.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads