Eulalia wa Merida

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eulalia wa Merida
Remove ads

Eulalia wa Merida (Merida, Hispania, 292 - Merida, 304) alikuwa bikira anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini pia.

Thumb
Mt Eulalia alivyochorwa na John William Waterhouse, 1885, Tate collection.

Inasemekana katika ujana wake hakusita kutoa uhai wake kushuhudia imani yake kwa Kristo [1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Desemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads