Jore

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jore
Remove ads

Jore au jole ni ndege wa tropiki wa jenasi Eurystomus katika familia Coraciidae. Wanafanana na viogajivu wenye rangi sawasawa na hawa: kahawia, buluu na zambarau, lakini jore ni wadogo zaidi wenye domo pana na fupi zaidi. Hula wadudu ambao wanawakamata kutoka kitulio cha juu. Tago lao ni tundu mtini. Jike huyataga mayai 2-4.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads