Eusizi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eusizi (kwa Kifaransa: Eusice; Jumilhac, 465 - Selles-sur-Cher, 542 hivi) alikuwa mkaapweke katika chumba kidogo kwenye mto Cher, leo nchini Ufaransa[1].
Gregori wa Tours aliandika habari zake.
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads