Eustoki wa Tours
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eustoki wa Tours (Auvergne - Tours, 461) alikuwa askofu wa 5 wa Tours katika Ufaransa wa leo baada ya Brisi kuanzia mwaka 444 hadi kifo chake[1].
Mtu mwenye moyo wa ibada, alikuwa kwanza mjumbe wa senati ya Roma kama wengine wa familia yake [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Septemba[3].
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads