Eutiki wa Como
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eutiki wa Como (482 - 5 Juni 539) anakumbukwa kama askofu wa 8 wa Como (Italia Kaskazini) aliyejulikana kwa kupenda sala na kukaa peke yake na Mungu hata baada ya kupewa daraja hiyo ya juu[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads