Evensi na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Evensi na wenzake Aleksanda na Theodulo (walifariki Roma, karne ya 4) walikuwa Wakristo wa Roma ya Kale waliouawa kwa ajili ya imani yao [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads