Fakharia Shomar Khamis
mwanasiasa kutoka Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fakharia Shomar Khamis (amezaliwa tarehe 20 disemba 1952) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads