Fandila
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fandila (alifariki Cordoba, Hispania, 13 Juni 853) alikuwa mmonaki padri kutoka Granada aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo[1] [2].

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[3] [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads