Farailde wa Gand
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Farailde wa Gand (pia: Pharaildis, Faraildis, Farailda, Veerhilde, Veerle; 650 hivi - Bruay-sur-l'Escaut, 740 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ufaransa.

Kisha kulazimishwa aolewe na mwanamume mkatili, alimvumilia akaendelea kuishi kwa uadilifu hadi uzeeni kama mjane [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads